0

program hii inampa uwezo mwanafunzi  wa NETWORK   CCNA  / CCNP  kupokea project kutoka kwa wateja na kufanyia kazi,    program hii ni tofauti na ile ya kawaida (packet tracer v 7.0)  ambayo hupokei project yoyote .......mwanafunzi lazima awe amefahamu kuhusu network devices, topology zote  na configurations,  na namna ya kuunga network kwa ISP  na mengine mengi,  kwa kuwa kazi utazopewa humo si kwamba ndo unaanza kujifunza hapana,  utapewa project na kisha utapewa pesa kwenda kununua vifaa vya kazi  na kufanya kazi husika.            
size= 270 mb
compatibility: microsoft windows

minimal hardware requirements (RAM >2GB) (VGA intel, nvidia)
kupakua bonyeza hapa   

Image result for CISCO ASPIRE GAME PNG

Post a Comment

 
Top